1 Chronicles 23:13


13 aWana wa Amramu walikuwa:
Haruni na Musa.
Haruni waliwekwa wakfu, yeye na wazao wake milele, wawe wakiweka wakfu vitu ambavyo ni vitakatifu mno, kutoa dhabihu mbele za Bwana, kuhudumu mbele zake na kutamka baraka katika Jina la Bwana milele.
Copyright information for SwhKC